epl

GUARDIOLA AFURAHIA REKODI YA CITY ULAYA

admin April 16, 2021 9:47 am

 

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amesifia klabu yake kwa kuweka historia mara baada ya Phil Foden kufunga bao la ushindi dhidi ya Borrusia Dortmund na kufanikiwa kuingia Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza chini ya uongozi wake.

 

 Foden alifunga bao hilo zikiwa zimesalia dakika 15 mchezo kumalizika usiku wa kuamkia jana. 

 

 “Kila mtu amefanya kazi kubwa klabuni, hii ni historia kubwa, nina furaha sana.”Man City sasa itakipiga dhidi ya PSG ya Ufaransa wakati Chelsea itaivaa Real Madrid katika nusu fainali

SIMBA YAPELEKWA FIFA KISA MADAI YA MKWANJA SAKATA LA MWAKALEBELA, TFF GIZA NENE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply