Home Azam FC YANGA YAPOTEZA KWA KUFUNGWA BAO MOJA MBELE YA AZAM FC KWA MKAPA

YANGA YAPOTEZA KWA KUFUNGWA BAO MOJA MBELE YA AZAM FC KWA MKAPA

 


AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa.


Kipindi cha Kwanza timu zote zilitoshana nguvu na kuwafanya waende vyumba vya kubadilishia nguo ubao ukisoma Yanga 0-0 Azam FC.

Ni Prince Dube dakika ya 85 alipachika bao la ushindi nje ya 18.

Ushindi huu unaifanya Azam FC kulipa kisasi cha kupoteza mchezo wa wao uliopita ambapo walifungwa bao 1-0.

SOMA NA HII  AZAM FC WAPO TAYARI KWA MZUNGUKO WA PILI