news

VIDEO: MECKY MAXIME ATAKA KUWATENGENEZA AKINA CHAMA WATANZANIA

admin May 7, 2021 5:47 am


KOCHA wa zamani wa kikosi cha Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa malengo makubwa kwa sasa ameamua kupumzisha kichwa kwenye vilabu na kwa sasa yupo kwenye kituo cha Cambiassosports ambacho ni maalumu kwa ajili ya kukuza vipaji vya soka kwa vijana baada ya kusaini dili la miaka miwili. 

Amewaomba Watanzania kutengeneza mpira pamoja na kuwa na wachezaji kama akina Chama, (Clatous raia wa Zambia) wengine pamoja na wachezaji ambao watakuwa wazuri wakati ujao kwa ajili ya timu ya taifa ya Tanzania.

 

YANGA:  CHAMA, LUIS HAWAWEZI KUCHEZA MBELE YA NINJA MIKEL ARTETA: WACHEZAJI WALICHEZA CHINI, HATUKUWA NA NAMNA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply