Home Yanga SC VIDEO: ASHA MASAKA MFUNGAJI BORA, AWAOMBA MASHABIKI KUTOKATA TAMAA

VIDEO: ASHA MASAKA MFUNGAJI BORA, AWAOMBA MASHABIKI KUTOKATA TAMAA


ASHA Masaka mfungaji bora wa Ligi ya Wanawake Tanzania amesema kuwa ili kuweza kufikia mafanikio ni lazima kupambana bila kukata tamaa huku akiwapa pongezi mabingwa wa taji hilo ambao ni Simba Queens. 


Asha pia amewaomba mashabiki wasiwe wanyonge wana amini kwamba msimu ujao watafanya vizuri kufikia malengo ambayo wamejiwekea.

 

SOMA NA HII  SURE BOY AGOMEA KUONGEZA MKATABA, KISA YANGA