Ligi Kuu

LEO NI BIASHARA UNITED V NAMUNGO

admin May 23, 2021 12:47 pm


 LEO Uwanja wa Biashara Mara kutakuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho kati ya Biashara United v Namungo, utakaochezwa Uwanja wa Karume, Mara saa 10:00 jioni.

Mshindi wa mchezo wa leo atacheza hatua ya nusu fainali na mshindi wa mchezo kati ya Yanga v Mwadui ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kambarage, Jumanne.

Ofisa Habari wa Biashara United, Idrissa Sechombo  amesema kuwa kila kitu kipo sawa.

“Maandalizi yapo sawa na wachezaji wana morali kubwa hivyo ni suala la muda katika kutafuta ushindi, mazoezi ya mwisho tumefanya.

“Tulifika jana Musoma tukitokea Dar na kufanya mazoezi mepesi jana hiyohiyo, mashabiki watupe sapoti,”.


MABAO YA NAHODHA WA SIMBA JOHN BOCCO MBELE YA KAIZER CHIEFS YAMPA MILIONI KIKOSI BORA CHA WIKI CAF, BOCCO, LUIS NDANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply