CAF
KIKOSI BORA CHA WIKI CAF, BOCCO, LUIS NDANI
KIKOSI bora cha wiki Ligi ya Mabingwa Afrika,katika hatua ya robo fainali kimetolewa ambapo nyota watano wa kikosi cha Simba wametajwa.
Licha ya kwamba kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes na msaidizi wake ni Seleman Matola kuishia hatua hiyo.
Wachezaji ambao wametajwa ni pamoja na John Bocco, Clatous Chama, Mohamed Hussein, Shomari Kapombe na Luis Miquissone.


Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.