news

VIDEO: NYOTA KAIZER CHIEFS, SIMBA ITAWEZA KUFIKIA MAFANIKIO

admin May 23, 2021 10:47 am

NYOTA wa Kaizer Chiefs, Samir Nukovic amesema kuwa anaamini kwamba kwa wakati ujao Klabu ya Simba ina weza kufikia mafanikio na kuwa katika hatua nyingine. 


Simba ambao walikuwa ni wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika wameishia hatua ya robo fainali baada ya kufungwa jumla ya mabao 4-3 dhidi ya Kaizer Cheefs ambapo mchezo wa kwanza Afrika Kusini ubao ulisoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba na ule wa pili ulisoma Simba 3-0 Kaizer Chiefs

 

SIMBA: TULISHINDWA KUTUMIA NAFASI AMBAZO TULIZITENGENEZA KUMBE, JUMA MWAMBUSI BADO YUPO YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply