Home FA Cup HIZI HAPA ZIMETINGA HATUA YA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

HIZI HAPA ZIMETINGA HATUA YA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

0


HIZI hapa zilizotinga hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation Cup
 Biashara United, ulishinda mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC,  Uwanja wa Karume, Mara.

Yanga, ulishinda mabao 2-0 dhidi ya Mwadui FC, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. 

Azam FC ikishinda mabao 3-1 dhidi ya Rhino Rangers,  Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. 

Simba, ilishinda mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji, Uwaja wa Mkapa.

Ngoma itachezwa namna hii

Azam FC v Simba, Songea, Uwanja wa Majimaji. 

Yanga v Biashara United,  Tabora, Uwanja wa Ali Hassan.