video

VIDEO: SIMBA, NAMUNGO WALITUZIDI, BAO LA MORRISON NI LA MSIMU

admin May 30, 2021 8:48 am


SHABIKI maarufu wa Simba, Aggy Simba amesema kuwa walikuwa kwenye presha kubwa jana wakati wapinzani wao Namungo wakiongoza kwa ushindi wa bao 1-0 ndani ya dakika 45. Aggy amesema kuwa bao la Morrison ni bao la msimu kwa kuwa ni bao zuri na linafungwa na wachezaji ambao wanatoka ndani ya kikosi cha Simba akiamini kwamba litamrudisha mchezaji huyo kwenye mchezo

 

KUHUSU WACHEZAJI WATAKAOACHWA SIMBA, GOMES AMEFUNGUKA HAYA.. KUSHUKA DARAJA NI SUALA LISILOEPUKIKA MUHIMU KUJIPANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply