Home Yanga SC CAS YAPANGA SIKU YA KUSIKILIZA KESI YA MORRISON, SAKATA KUANZA UPYA

CAS YAPANGA SIKU YA KUSIKILIZA KESI YA MORRISON, SAKATA KUANZA UPYA


JUNI 2,2021 kesi ya Bernard Morrison itaanza kusikilizwa upya baada ya CAS kutupilia mbali suala la rufaa ambayo ilikatwa na mchezaji huyo.


Sakata lake na Yanga ni kuhusu mkataba wake ambapo Yanga walikuwa wanadai kwamba nyota huyo alikuwa na kandarasi ya miaka miwili jambo ambalo mchezaji alisema kuwa amesaini dili la miezi sita.


SOMA NA HII  MECHI TANO ZIJAZO KUHAMUA HATMA NDANI YA YANGA..INJIA HERSI AFUNGUKA KUJIWEKA KANDO....