Home Simba SC ONYANGO: AWAOMBA MASHABIKI MBELE YA YANGA

ONYANGO: AWAOMBA MASHABIKI MBELE YA YANGA


JOASH Onyango, beki kisiki wa Simba amesema kuwa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar walikuwa chini ila kipindi cha pili waliweza kujipanga jambo lililofanya wapate matokeo. Kuhusu Kaizer Chief amesema bado kuna mechi za kucheza, amwewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi Mei 8 watakapomenyana na Yanga.

 

SOMA NA HII  USHINDI WA SIMBA DHIDI YA MBEYA KWANZA WAMUIBUA MASAU BWIRE...ADAI SOKA HALINA MWENYEWE...