Home Yanga SC VIDEO: YANGA KUSUKA UPYA KIKOSI CHAKE,

VIDEO: YANGA KUSUKA UPYA KIKOSI CHAKE,

IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kusuka kikosi chake upya ikiwa ni pamoja na safu ya ushambuliaji, kwa sasa inaelezwa kuwa kuna mshambuliaji ambaye anacheza ndani ya Kaizer Chiefs, Kambole huenda akasajiliwa na Yanga msimu ujao. Pia inasaka beki ambaye atakuwa mbadala wa nahodha Lamine Moro

 

SOMA NA HII  GAMONDI AJA NA MBINU HIZI KUELEKEA ROBO FAINALI