video

VIDEO: WATU 500 KUMPA TUZO YA BET

admin June 7, 2021 7:47 am

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Nassib Abdul, ‘Diamond’ anawania tuzo ya BET ambazo ni kubwa kwa Afrika na zinajulikana duniani, mhariri wa magazeti ya Global Publisher kwa upande wa magazeti pendwa, Sifael Paul amesema kuwa utaratibu wa kupiga kura ni tofauti na kuna watu 500 ambao wanachagua na kinachotakiwa kwa Watanzania ni kutag kwenye mitandao ya kijamii

 

SIRI ZA RONALDO ZAWEKWA WAZI JOHN BOCCO AWEKA KANDO TUZO YA UFUNGAJI BORA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply