Home Yanga SC VIDEO: SERIKALI YATAJA KINACHOIPONZA YANGA KUSHINDWA KUPATA MATOKEO MAZURI

VIDEO: SERIKALI YATAJA KINACHOIPONZA YANGA KUSHINDWA KUPATA MATOKEO MAZURI


SERIKALI kupitia kwa Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba imetaja kuwa miongoni mwa sababu ambazo zinafanya timu nyingi kushindwa kupata matokeo mazuri ikiwa ni pamoja na Yanga ni ubovu wa viwanja vya mikoani jambo ambalo linawafanya wapate tabu.

 
Kupitia bajeti iliyowasilishwa jana, Juni 10 Nchemba ameomba Serikali iweze kutoa punguzo katika gharama ya nyasi bandia. 

 

SOMA NA HII  KISA DIARA....METACHA MNATA ASHINDWA KUJIZUIA..ADAI ANGESUGUA BENCHI SANA TU...