Home Taifa Stars VIDEO: KOCHA KIM POULSEN ABAINISHA MAHITAJI YA MPIRA WA SASA

VIDEO: KOCHA KIM POULSEN ABAINISHA MAHITAJI YA MPIRA WA SASA

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho ambao ni wa kirafiki dhidi ya Malawi utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. 


Poulsen amesema kuwa maandalizi kiujumla yalikuwa ni mwanzo wa kujenga timu na imani yake ni kwamba kambi ya pili itakuwa na majibu mazuri zaidi.

 Ameweka wazi kwamba mahitaji ya mpira wa leo unahitaji mbinu nyingi ili kujenga timu yenye uwezo katika kusaka ushindi. 

 

SOMA NA HII  CAF WAPANGA 'MAPROO' BONGO KUKIPIGA DHIDI YA TAIFA STARS...MCHONGO MZIMA UKO HIVI...