Taifa Stars

VIDEO: KOCHA KIM POULSEN ABAINISHA MAHITAJI YA MPIRA WA SASA

admin June 12, 2021 3:47 pm

KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho ambao ni wa kirafiki dhidi ya Malawi utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. 


Poulsen amesema kuwa maandalizi kiujumla yalikuwa ni mwanzo wa kujenga timu na imani yake ni kwamba kambi ya pili itakuwa na majibu mazuri zaidi.

 Ameweka wazi kwamba mahitaji ya mpira wa leo unahitaji mbinu nyingi ili kujenga timu yenye uwezo katika kusaka ushindi. 

 

VIDEO: FREDWAA ATANGULIA MBELE ZA HAKI VIDEO: OSCAR OSCAR AREJESHA FOMU, ATAJA CHANGAMOTO AMBAYO ALIYOKUTANA NAYO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply