video

VIDEO: OSCAR OSCAR AREJESHA FOMU, ATAJA CHANGAMOTO AMBAYO ALIYOKUTANA NAYO

admin June 12, 2021 3:47 pm

OSCAR Oscar ambaye ni mchambuzi wa masuala ya michezo Bongo pia akiwa ni mtangazaji wa E FM amesema kuwa anaamini kwamba ametimiza matakwa ya kanuni za fomu ya uchaguzi ambayo amewania ikiwa ni pamoja na elimu aliyonayo.


 Pia ameweka wazi kwamba shukrani kubwa kwa Waandishi wa Habari ambao walikuwa naye bega kwa bega katika kutoa taarifa. Ameongeza pia amekutana na changamoto kubwa ya kupata endosment (wadhamini) ambayo ilikuwa ni tatizo kubwa kwake na hakupata endosment hata moja. 

 

VIDEO: KOCHA KIM POULSEN ABAINISHA MAHITAJI YA MPIRA WA SASA MZAWA JOHN BOCCO KUWEKA REKODI YA MABAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply