video
VIDEO: NAMNA METACHA MNATA ALIVYOWAFANYIA MASHABIKI WA YANGA KWA MKAPA
METACHA Mnata, kipa namba moja wa Yanga jana Juni 17 aliweza kuwatukana mashabiki wa Yanga jambo ambalo limefanya uongozi umsimamishe kwa muda usiojulikana.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.