video
VIDEO:SHABIKI WA SIMBA ALIYETEMBEA KWA MIGUU KUTOKA KIGOMA APEWA MKWANJA
SHABIKI wa Simba ambaye amekuja kwa mguu kutoka Kigoma Michael Filbert ambaye ametumia siku 15 kutembea na aliwasili Dar, Juni 21 amepewa mkwanja na mashabiki wa Simba
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.