Yanga SC

YANGA WAZINDUA TAWI TABORA

admin June 23, 2021 3:47 pm


 LEO Juni 23 Uongozi wa Yanga umezindua tawi jipya liitwalo Yanga Kwanza.

Taarifa iliyotolewa kupitia ukurasa wa Instagram wa Yanga umeeleza kuwa:”Kwa niaba ya Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano na Mjumbe wa Kamati ya Mabadiliko Eng. Hersi Said leo amezindua Tawi jipya liitwalo Yanga Kwanza.

Uzinduzi huo ulihudhuriwa na mashabiki wa Yanga na wanachama wa tawi hilo lilipo Tabora pamoja na mashabiki.

Yanga ipo Tabora kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao dhidi ya Biashara United ambao ni wa Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali utakaochezwa Ijumaa, Uwanja wa Alli Hassan Mwinyi. 

COASTAL UNION MAMBO BADO, MGUNDA KUBEBA LAWAMA VIDEO: KIPA WA MWADUI FC ATAJA SABABU YA TIMU HIYO KUSHUKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply