Yanga SC

MANJI NDANI YA MKUTANO WA YANGA LEO JUNI 27

admin June 27, 2021 10:47 am

 


YUSUPH Manji aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga leo Juni 27 ni miongoni mwa waliohudhuria mkutano wa wa Yanga.


Manji alipata nafasi ya kusalimiana na Mwenyekiti wa Yanga kwa sasa ndugu Mshindo Msolla pia alipata fursa ya kuwasalimia mashabiki wa Yanga.


Mkutano wa leo Juni 27 unatarajiwa kuwa na ajenda 13 na utakamilika saa 8:00.

Mkutano unafanyika Kwenye ukumbi wa DYCCC, Chang’ombe, Dar kuanzia saa 4:00 asubuhi huku ajenda kubwa ikiwa ni kuelekea kwenye Kwenye wa mabadiliko.

SANCHES AINGIA ANGA ZA ARSENAL WANACHAMA WAKUBALI MCHAKATO WA MABADILIKO, WATANO WAPENDEKEZWA BARAZA LA WADHAMINI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply