Simba SC

BWALYA KUTUA SIMBA ISHU YAKE IPO HIVI

admin June 30, 2021 6:47 am


NYOTA wa timu ya Al Ahly ya Misri, Walter Bwalya inaelezwa kuwa dili lake la kutua Simba limefika hatua nzuri.


Bwalya alikuwa anapigiwa hesabu na Simba kwa muda mrefu jambo ambalo linawafanya waendelee kuiwinda saini yake.


Timu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes inahitaji saini ya mshambuliaji mmoja na anayetajwa kuwa katika hesabu za Simba ni Bwalya.


Taarifa zinaeleza huenda Simba ikapata saini ya mshambuliaji huyo kwa mkopo.

FAINAL ASFA: HIVI NDIVYO HISTORIA INAVYOIBEBA SIMBA SC DHIDI YA YANGA MTAMBO WA MABAO UPO TAYARI KUTUA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply