Home video VIDEO: MZEE MPILI WA YANGA AGOMEA MECHI YA JULAI 3, TFF YAPIGWA...

VIDEO: MZEE MPILI WA YANGA AGOMEA MECHI YA JULAI 3, TFF YAPIGWA MKWARA

MZEE Mpili shabiki wa Yanga amesema kuwa Yanga haina tatizo kushushwa daraja inaweza kwenda Unguja kucheza mpira huku wakiweka wazi kwamba hawapo tayari kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Julai 3, Uwanja wa Mkapa. 

 

SOMA NA HII  HAJI MANARA ABAINISHA MIPANGO,IMANI YAO IPO KWENYE KUPINDUA MEZA