Home video VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ATAKA KUKUTANA NA HAJI MANARA

VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ATAKA KUKUTANA NA HAJI MANARA

MZEE wa utopolo amesema kuwa mchezo wa Jumamosi, hana mashaka nao kwa kuwa anajua kwamba shamba ni la bwana kheri mbuzi ni wa bwana kheri. Ameweka wazi kwamba hana mashaka na kukutana na Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara.


Pia aezungumzia kuhusu mchezo wao ujao wa Kombe la Shirikisho ambao ni dhidi ya Biashara United, wanajiita wanajeshi wa mpakani. 

 

SOMA NA HII  KIBADENI AGUSIA ISHU YA CHAMA NA LUIS,AIONYA SIMBA KUHUSU YANGA