Home video VIDEO: SIMBA YAPIGA HESABU ZA UBINGWA MAPEMA, MALALE ALIWAAMBIA WACHEZAJI MAPEMA

VIDEO: SIMBA YAPIGA HESABU ZA UBINGWA MAPEMA, MALALE ALIWAAMBIA WACHEZAJI MAPEMA

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa walipata nafasi chache mbele ya Polisi Tanzania jambo walilolifanya washindwe kufunga mabao mengi ila jambo la msingi kwao ni kupata pointi tatu.


 Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania, Malale Hamsini amesema kuwa aliwaambia wachezaji wake mapema kwamba wawe makini na mipira iliyokufa jambo ambalo lilikuwa tofauti kwao na mwisho ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Polisi Tanzania 0-1 Simba. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA YASAJILI WATATU WAPYA