Home video VIDEO: WASAUZI WAINGILIA DILI LA USAJILI WA MSHAMBULIAJI WA YANGA

VIDEO: WASAUZI WAINGILIA DILI LA USAJILI WA MSHAMBULIAJI WA YANGA

IMEELEZWA kuwa timu kutoka Afrika Kusini zimeingilia dili la usajili wa mshambuliaji wa Klabu ya Ethiopian Coffee, Abubeker Naser ambaye alikuwa anatajwa kuingia kwenye rada za Klabu ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi. 

 

SOMA NA HII  ALICHOSEMA 'TRY AGAIN' BAADA YA KUISHUHUDIA SIMBA AKITAABISHWA ZAMBIA...