Home video VIDEO: ISHU YA LUIS KUSAJILIWA YANGA SIMBA YAFUNGUKA

VIDEO: ISHU YA LUIS KUSAJILIWA YANGA SIMBA YAFUNGUKA

OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amefungukia ishu ya mchezaji wao Luis Miquissone kuelezwa kwamba yupo kwenye hesabu za kujiunga na Yanga. 


Ameongeza kuwa Luis ni nyota wao na ana mkataba na timu hiyo hivyo kwa timu ambayo inamuhitaji kwa Tanzania iweke dola milioni 10. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:TAZAMA PIGA NIKUPIGE ZA DULLAH MBABE V TWAHA, MZEE WA SHOWSHOW ASEPA NA NDIGA