Home Yanga SC HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA SIMBA

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA SIMBA


 YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi inatarajiwa kumenyana na Simba leo Uwanja wa Mkapa majira ya saa 11:00.

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuanza leo dhidi ya Simba:-

Farouk Shikalo

Abdalah Shaibu

Adeyum Saleh

Kibwana Shomari

Bakari Mwamnyeto

Kibwana Shomari

Fei Toto

Deus Kaseke

Yacouba Songne

Said Ntibanzokiza

Tuisila Kisinda

Hii ni kwa mujibu wa Championi Jumamosi

SOMA NA HII  AL MAREIKH HAWA HAPA NCHINI KWAAJILI YA YANGA