kimataifa

ARGENTINA YENYE MESSI YAPETA COPA AMERICA 2021

admin July 4, 2021 11:47 am


TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Copa America 2021 baada ya kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Ecoador. 

Walikuwa ni Rodrigo De Paul dk 40, Laulataro Martinez dk 84 na Lionel Messi dk 90+3 ambao walitupia mabao hayo ya ushindi kwa Argentina.

Pia wapinzani wao walishuhudia wakikamilisha dk 90 nyota wao mmoja akionyeshwa kadi nyekundu katika dakika za jioni.

Alikuwa ni Piero Hincaple dk 90+2, Uwanja wa Olimpico Pedro Ludovico alionyeshwa kadi hiyo.

MCHEZO MZIMA WA YANGA KUTIBUA SHEREHE ZA UBINGWA ULIKUWA HIVI GOMES ABADILI WATATU HUKU NABI AKIBADILI NYOTA SITA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply