Azam FC

BREAKING:AZAM FC YAMALIZANA NA KIUNGO MZAMBIA KWA VIPIMO

admin July 4, 2021 12:47 pm


KIUNGO Charles Zulu ni suala la muda tu kwa sasa kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi cha Azam FC baada ya kukamilisha masuala ya vipimo leo Julai 4.


Kiungo huyo ambaye ni raia wa Zambia anaibuka ndani ya kikosi cha matajiri wa Tanzania, akitokea Afrika Kusini, abapo alikuwa anacheza ndani ya Klabu ya Cape Town City.

Taarifa rasmi iliyotolewa leo na Azam FC imeeleza kuwa kiungo huyo tayari amekamilisha utaratibu katika vipimo hivyo kinachosubiriwa kwa sasa ni suala la makubaliano ya nyota huyo kusaini dili la kuwatumikia mabosi hao wanaoutumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani.
GOMES ABADILI WATATU HUKU NABI AKIBADILI NYOTA SITA MZEE MPILI ATAJWA NYOTA WA MCHEZO YANGA USHINDI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply