video

SAIDA KARORI: NILILALA CHUMBA CHA BUKU TANO

admin July 12, 2021 10:47 am

MSANII wa muziki Saida Karoli anasema kuwa anamshukuru Mungu kupitia kazi hiyo ameweza kupata mafanikio ikiwa ni pamoja na kujenga, kupata marafiki huku akibainisha kwamba aliwahi kupitia msoto na alikuwa analala kwenye chumba cha wageni cha buku tano mpaka pale Wasukuma walipoamua kuungana kumbeba baada ya Vyombo vya Habari kuripoti

 

BUKAYO, RASHFORD NA SANCHO WAKUTANA NA UBAGUZI WA RANGI VIDEO: KOCHA SIMBA, TULISTAHILI KUTWAA UBINGWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply