video

VIDEO: KOCHA SIMBA, TULISTAHILI KUTWAA UBINGWA

admin July 12, 2021 10:47 am

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa walistahili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa ulikuwa ni mpango wao tangu awali.


 Ushindi wa jana mbele ya Coastal Union wa mabao 2-0 uliwafanya wafikishe jumla ya pointi 79 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote kwa sasa hivyo walitangazwa kuwa mabingwa wa msimu wa 2020/21 wakiwa na mechi mbili mkononi.

 

SAIDA KARORI: NILILALA CHUMBA CHA BUKU TANO RUVU SHOOTING : TUTAIFUNGA NAMUNGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply