News

SIMBA QUEENS YAKABIDHIWA UBINGWA LEO UWANJA WA UHURU

admin July 13, 2021 6:47 pm


 SIMBA Queens leo imekabidhiwa ubingwa wa Ligi ya Wanawake Tanzania kwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Twiga Stars.

Mchezo wa leo ambao umechezwa Uwanja wa Uhuru, ubao ulikamilika kwa kusoma Simba Queens 1-2 Twiga Stars.

Chini ya Kocha Mkuu, Mussa Mgosi, Simba Queens imetwaa ubingwa wake wa pili ndani ya Ligi ya Wanawake Tanzania ambayo imekuwa na ushindani mkubwa.

COASTAL UNION: BADO TUPO KWENYE MAPAMBANO MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply