kimataifa

MANCHESTER UNITED SASA YATAKA MABEKI WAWILI WA KAZI

admin July 17, 2021 6:47 am


 MANCHESTER United ipo kwenye hesabu za mwisho kukamilisha kupata saini ya beki Raphael Varane wa Real Madrid na Kieran Trippier kutoka Spurs.

United hawakuwa vizuri kwenye safu ya ulinzi msimu uliopita na sasa wanataka kuhakikisha kwamba wanakuwa na timu bora.

Inaelezwa kuwa inaweza kutumia jumla ya kitita cha pauni milioni 140 kwa ajili ya mastaa hao wakichanganya na kitita walichotumia kuipata saini ya Jadon Sancho kutoka Borussia Dortmund.

Kwa ajili ya mabeki hao wawili United watatumia kitita cha pauni milioni 68 kwa ajili ya kuwapata wachezaji hao. 

VIDEO: AZAM, YANGA NA UBABE KWA SIMBA, UBINGWA KWA VIBONDE,NIYONZIMA HESHIMA MUONEKANO WA NDIGA YA IHEFU FC YA MBEYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply