Home news UWANJA WA MKAPA MO ATIA TIMU

UWANJA WA MKAPA MO ATIA TIMU


 MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji, ‘Mo’ ni miongoni mwa waliohudhuria mchezo wa leo Uwanja wa Mkapa.

Simba inacheza na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ambapo Simba itakabidhiwa taji la ubingwa wa Ligi Kuu Bara.

SOMA NA HII  KWA YANGA NZIMA...HUYU HAPA NDIYE STAA ANAYEMTIA 'TUMBO JOTO' KOCHA WA EL MERREIKH...