Home video VIDEO: MANULA AIPOTEZA TUZO YA NDANI, AIFIKIRIA AFRIKA

VIDEO: MANULA AIPOTEZA TUZO YA NDANI, AIFIKIRIA AFRIKA

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye amekamilisha msimu wa 2020/21 akiwa na tuzo ya kipa bora amesema kuwa siri kubwa ya timu hiyo kupata ushindi ni ushirikiano jambo ambalo limewafanya waweze kuwa bora na kuweza kutwaa mataji manne. 


Amesema kuwa kwa sasa hafikirii tuzo ya ndani bali anafikiria namna gani anaweza kuwa bora na kutwaa tuzo ya Afrika.

 

SOMA NA HII  TAZAMA HALI ILIVYO NJE NA NDANI YA UWANJA WA MKAPA