Home Simba SC KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA, MWISHO WA RELI KIGOMA

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA, MWISHO WA RELI KIGOMA


KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Julai 25 dhidi ya Yanga fainali ya Kombe la Shirikisho,  Uwanja wa Lake Tanganyika,  Kigoma mwisho wa reli huku mashabiki wakiamini kwamba wanaoichukua tena taji hilo walilotwaa msimu wa 2019/20.


SOMA NA HII  BAADA YA KUWANOA KWA MIEZI MIWILI...MSAUZI WA MAKIPA SIMBA AFICHUA HAYA MAPYA KUHUSU MANULA NA BENO...