kimataifa

ERIKSEN KURUDI UWANJANI INTER MILAN

admin July 30, 2021 6:43 am

 KIUNGO Christian Eriksen anatarajiwa kurejea kwenye timu yake  ya Inter Milan kwa ajili ya kufanyiwa vipimo.

Ericksen alidondoka kwenye mchezo wa Euro 2020 akiwa anaitumikia Denmark na baadaye ilielezwa kuwa anasumbuliwa na matatizo ya moyo.

Inter Milan wamesema kwamba pamoja na kwamba mchezaji huyo amekuwa akipata matibabu lakini wenyewe wanatakiwa kumfanyia vipimo upya kabla ya kurejea uwanjani.

Timu hiyo imesema kuwa inataka kutambua ni tatizo gani ambalo lilimpata nyota huyo wakiamini kuwa anaweza kurejea uwanjani kwa nguvu.

Kwa sasa nyota huyo mwenye miaka 29 yupo jijini Copenhagen baada ya kuondoka hospital mwezi uliopita

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA KAGERE – MSIMU HUU NIMEISHI MAISHA MAGUMU SANA NDANI YA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply