video
VIDEO: LUIS AKUBALI KUPATA CHANGAMOTO MPYA,KUIBUKIA MISRI
IMEELEZWA kuwa Luis Miquissone yupo kwenye hesabu za kuwaniwa na Al Ahly ambapo wakala wa mchezaji huyo amebainisha kuwa kuna ofa ya bilioni mbili ambayo imetumwa Simba huku kiungo huyo akiwa tayari kupata changamoto mpya.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.