Home video VIDEO: KOKOLANYA ATAJA ANACHOKIFANYA AKIWA BENCHI, AZUNGUMZIA FAINALI

VIDEO: KOKOLANYA ATAJA ANACHOKIFANYA AKIWA BENCHI, AZUNGUMZIA FAINALI

KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya amesema kuwa anapokosa nafasi wakati akiwa benchi yeye yule ambaye anaanza ni sawa na yeye kuanza huku akiweka wazi kwamba kiwango chake kipo palepale.


 Pia amezungumzia fainali yao ijayo ambayo ni Kombe la Shirikisho Mungu akijalia wanaweza kwenda kuchukua ubingwa. Katika Kombe la Shirikisho Simba inatarajia kucheza na Yanga, Kigoma, Julai 25.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MKWANJA WATAKAOVUNA SIMBA KUTOKA AZAM SI MCHEZO