Taifa Stars

EXCLUSIVE:NYOTA WA U 23 ALIYEFUNGA PENALTI YA MWISHO ABAINISHA KUWA PENALTI NI PRESHA

admin August 2, 2021 2:44 pm


RAJAB Athuman nyota anayecheza ndani ya timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 alikuwa ni nyota wa mwisho kwa timu hiyo kupiga penalti ambayo ilileta ushindi kwa taifa la Tanzania mbele ya Burundi kwenye fainali ya Cecafa, nchini Ethiopia.


 Nyota huyo amebainisha wazi kwamba penalti zina presha kubwa ila wanashukuru Mungu kwa kuwa wameshinda taji hilo. Tanzania ilishinda kwa penalti 6-5 baada ya dakika 90 ngoma kuwa Tanzania 0-0 Burundi.
 
Kutokana na ushindi huo jana Agosti Mosi baada ya kurejea Tanzania, Rais Samia Suluhu naye alituma salamu za pongezi kwa U 23 kutwaa taji hilo.

 

HII HAPA ORODHA YA NYOTA WALIOMALIZANA NA AZAM FC ISHU YA MEDDIE KAGERE KUSEPA SIMBA IPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply