Azam FC

VIDEO: AZAM FC YATAMBULISHA NEMBO MPYA, WACHEZAJI 12 KIMATAIFA

admin August 14, 2021 3:43 pm

AZAM FC leo Agosti 14 wamezindua nembo mpya ambayo imeanza kutumika kuitambulisha timu hiyo, Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ametaja sababu ya timu hiyo kuweka kambi nchini Zambia. 


Kwa upande wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Rais Wallace Karia ameweka wazi kwamba kuna ongezeko la wachezaji 12 wa kimataifa. 

MANCHESTER UNITED YAFUNGUA LIGI KWA KISHINDO, YATEMBEZA 5 G TFF WARIDHIA ONGEZEKO LA WACHEZAJI, SASA USAJILI NI WACHEZAJI 40 KWA  12

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply