news
KAMWAGA WA SIMBA YADAIWA KUBWAGA MANYANGA
IMEELEZWA kuwa Kaimu Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho.
Kamwaga alichukua mikoba ya aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ambaye alichimba kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na uongozi.
Alipotafutwa Kaimu Ofisa Habari wa timu hiyo Kamwaga kwa njia ya simu hakuweza kupokea hivyo jitihada bado zinaendelea.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.