Home video VIDEO: KIKOSI CHA SIMBA KIPYA MSIMU WA 2021/22 ACHA KABISA

VIDEO: KIKOSI CHA SIMBA KIPYA MSIMU WA 2021/22 ACHA KABISA


LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuanza Septemba 29 na Septemba 25 unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ngao ya Jamii.


 Simba ni miongoni mwa timu ambayo imefanya usajili pia ikiwa ni pamoja na Peter Banda, Israel Mwenda na wapo pia wachezaji ambao wamesepa ni Luis Miquissone na Clatous Chama.

 

SOMA NA HII  VIDEO:MORRISON ATIMKA SIMBA, YANGA KUIMALIZA IHEFU KWA MKAPA