video
VIDEO: NEY WA MITEGO AZUNGUMZIA USAJILI WA YANGA
MSANII wa kuchana, Ney wa Mitego amebainisha kwamba yeye ni shabiki wa Yanga huku akisema kwamba ishu ya usajili wao muda wa kuzungumza bado mpaka watakapofunga kila kitu kuhusu usajili atazungumza.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.