video

VIDEO: SIMBA WAICHANGIA YANGA KUELEKEA WIKI YA MWANANCHI

admin August 28, 2021 9:43 am

TAWI la Yanga kutoka Mbezi linaloitwa Pamoja limeweza kutoa msaada katika shule ya Sekondari ikiwa ni kwa ajili ya kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi na wamebainisha kwamba wamepewa mchango pia kutoka kwa mashabiki wa Simba.


 Aidha wameongeza kuwa nje ya uwanja wao na Simba ni marafiki na ugomvi wao ni ndani ya uwanja.

 

VIDEO: JUMA ABDUL ATAJA SABABU ZA KUSAINI DTB, ALIKUWA NA OFA TATU HAJI MANARA: TUTAFUNIKA SIKU YA MWANANCHI, AWASIFU YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply