video

VIDEO: JUMA ABDUL ATAJA SABABU ZA KUSAINI DTB, ALIKUWA NA OFA TATU

admin August 28, 2021 9:43 am

JUMA Abdul, nyota mpya wa Klabu ya DTB inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kwa sasa inaitwa Championiship ameweka wazi kuwa alipata ofa za timu tatu za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Biashara United, Polisi Tanzania ila hizo zote zilimuomba asubiri kwanza jambo lililomfanya alipopata ofa kutoka DTB asihofie kusaini kwa kuwa yeye ni mchezaji na uwezo wake upo.

 


VIDEO: MASHABIKI WA YANGA WAWAITA WALE WA SIMBA KWA MKAPA VIDEO: SIMBA WAICHANGIA YANGA KUELEKEA WIKI YA MWANANCHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply