Home Yanga SC TUZO ZA WACHEZAJI YANGA,ORODHA HII HAPA

TUZO ZA WACHEZAJI YANGA,ORODHA HII HAPA


KIPINDI cha pili walitoa tuzo kwa wachezaji na walibadili jezi.

Mchezaji bora alikuwa ni Tonombe Mukoko alipewa tuzo na milioni tatu.

Tuzo ya mfungaji ilikuwa kwa Yacouba Songne alipewa tuzo na milioni tatu.

Mchezaji kijana alikuwa ni Kibwana Shomari alipewa tuzo na milioni tatu.

Bangala anaingia kuchukua nafasi ya Tonombe Mukoko.

Fiston Mayele anaingia dk 58 kuchukua nafasi ya Heritier Makambo.

SOMA NA HII  YANGA WAENDELEA KUZIFUNGA TIMU ZA DARAJA LA KWANZA..WAIKANDAMIZA DTB 'TATU MZUKA'....