Yanga SC

HUU HAPA UKWELI KUHUSU ”MAHUSIANO YA KI…ZI..” KATI YA MANARA NA MWAMNYETO

admin August 30, 2021 8:39 am


MSEMAJI mpya wa klabu ya Yanga, Haji Manara amefichua siri yake na Bakari Mwamnyeto kwamba alikuwa na ndoto ya kufanya kazi na beki huyo.

Manara wakati anawatambulisha wachezaji wa Yanga amesema ; “Mwenyezi Mungu aliandika nije kufanya kazi na Nondo na ndoto imetimia,”

Kauli hiyo iliwafanya mashabiki waliojitokeza uwanjani hapo kupiga shangwe wakati wa utambulisho huo na kunyamaza mpaka pale Mwamnyeto alipopanda jukwaani.

Ikumbukwe Mwanyeto alikuwa anatakiwa kusajiliwa na Simba lakini Yanga walimuwahi na kumsajili hali iliyowafanya mabosi wa Simba wamsajili pacha wake Ibrahim Ame.

AZAM FC KAMBI YAZIDI KUIMARIKA ZAMBIA, WAITUNGUA KABWE WARRIORS VIDEO:MAKAMBO AAHIDI MAKUBWA YANGA,MANARA AMUIBUA MORRISON SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply