Home Simba SC SIMBA KAZINI TENA LEO MOROCCO

SIMBA KAZINI TENA LEO MOROCCO


KIKOSI cha Simba kikiwa nchini Morocco ambapo kimeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 leo kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki ili kuweza kujiweka sawa zaidi.
 

Leo wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Olympique Club de Khouribga ambao utapigwa leo nchini Morocco.

Huu unakuwa ni mchezo wa pili wa kirafiki kwa Simba baada ya ule wa kwanza kucheza dhidi ya FAR Rabat ambayo inafundishwa na Sven Vandenbroeck ambaye aliwahi kuinoa pia Simba.

Katika mchezo wa kwanza wa kirafiki ngoma ilikamilika kwa miamba hiyo yote miwili kufungana mabao 2-2.


SOMA NA HII  KUMEKUCHA FEI TOTO ATAKA KULIANZISHA TENA AZAM, ADAI HANA FURAHA